Wednesday, 12 November 2014

Msanii Geez Mabovu kutoka Iringa Amefariki Dunia usiku huu mida ya saa moja akiwa huko Iringa na hii ni baada ya kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Malaria.
Tutakukumbuka kwa mengi sana kaka yetu, ikiwa ni pamoja na kazi zako nzuri za sanaa ya muziki.
R.I.P ‪#‎GeezMabovu‬ , Mungu Amekupenda Zaidi.
Kiboko ya wavivu na wapenda short cuts!
  • 34 people like this.
  • Selemani Kapara Mmmmhhhh no fisadi Tanzania. We a going to delete ccm now
  • Sharifu Mkomwa Duuuuuuu. Tumekwisha matatizo ya serikali ni ya wananchi wote. Basi kamando hivyo. Pembe za ndovu,mabilioni ya escrow tungegawana wote
    1 hr · Like · 1
  • Gregory Mwombeki Kuiba waibe Wao Adhabu ya wafadhiri kutunyima inaangukia walala hoi.anadanganya Wajinga Eti tukipata tunapata wote sio kweli Kwanini wakiugua wanaenda Ulaya wakati sisi kwenye Hospitali zetu hata Panadol hakuna Watoto wetu wamekalia Mchanga Watoto wao wanasomea Ulaya kwa Kodi zetu.Lowasa anacheza Mchezo wa Karata ya Okota Kekundu ya nani Kaona Atundanganyiki japo tu Watanganyika.
  • Stephen Kitomary
Ni kwanini watu wakiugua na kulazwa
wanapenda sana kusoma biblia ?????

No comments:

Post a Comment